Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-06-10

WOLPER NDIYE ALIYEOMBA TWENDE WOTE KWA WAZAZI WANGU – HARMONIZE

13257022_255519324807036_1630954995_n
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amefunguka na kueleza wazo la kwenda kumtambulisha mpenzi wake Jacqueline Wolper kwa wazazi wake lilikujaje.

13257022_255519324807036_1630954995_n

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Harmozine amesema mpenzi wake huyo alionyesha nia ya kutaka kukujua ukweni na yeye akaona hakuna sababu ya kumbania.
“Mimi sijazaliwa pale Mtwara mjini, nimezaliwa Wilaya ya Tandahimba. Kwa hiyo wakati nataka kwenda kwenye show baby naye akataka kuja, nikaona pia ni kitu kizuri kwa kuwa anakuja pia kunisupport kwa sababu unajua uwepo wake ni kitu mihimu kwa kuwa ana mashabiki wengi, so nikivutio cha watu. Nikamwambia pia mimi natakiwa kwenda kijijini nikawasalimie wazazi, akasema kwanini tusiende wote, so tukaenda wote, familia yangu imemuona, imemjua na pia imempokea vizuri,” alisema Harmonize.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina