Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-07-17

MOURINHO AANZA NA USHINDI WA 2-0 MAN UNITED


Mshambuliaji wa Manchester United, Will Keane (kulia) akishangilia na kiungo Juan Mata baada ya kufunga bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Wigan kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa DW, huo ukiwa mwanzo mzuri kwa kocha mpya Mreno, Jose Mourinho. Bao lingine la United lilifungwa na kiungo Andreas Pereira.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina