Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-07-15

MSAFARA WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA HARRISON MWAKYEMBE WAPATA AJALI













Msafara huu ulikuwa ukitokea Mjini Geita kuelekea Wilaya ya Chato majira ya saa 11 jioni ambapo chanzo cha ajlai ni Gari alilopanda Mkurugenzi wa Mashtaka na Makosa ya Jinai Biswalo Mganga kuwakwepa watoto waliokatiza ghafla barabarani ndipo gari liliwakwepa na kuingia pembezoni mwa barabara,

















No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina