Shirika lisilo la Serikali la Intergrity Foundation limejikita vijijini ambapo ndiko wazalishaji wengi wanapatikana lakini bado hali zao ni duni hali ambayo inachangia kuongeza hali ya umasikini pamoja na kuwa na rasilimali zenye tija.
Tazama video hapo chini kwa ufafanuzi zaidi
No comments:
Post a Comment