Binti mmoja anayejulikana kwa jina la
Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga
katika hotel ya Longido Mountain Lodge na kuacha ujumbe kuwa kifo chake
kisihusishwe na mtu yeyote
Amesema amejinyonga kwa ridhaa yake
mwenyewe.Katika ujumbe huo, ametaja majina ya watu anaowadai na kuagiza
walipe madeni yake kabla ya mwili wake kusafirishwa kwao pamoja na namba za
Mama yake mzazi.
Mimi Jesca Reinald Elisante Leo tarehe
29 , 03 , 2016 nimeamua kujinyonga kwa ridhaa yangu mwenyewe hakuna mtu yeyote
anayehusika na kifo changu na hizi ni namba ya Mama yangu,0672740439.
Ninao wadai
Mama Diana 33,000/=
John Memory card 4 GB
Boss Mshahara 60,000/=
wanao nidai
Zai 20,000/=alipwe na ninao wadai
wahakikishe wanalipa kabla sijarudishwa kwetu.
NB:HAKUNA ANAYEHUSIKA NA KIFO CHANGU.
Ndugu zangu nawapenda sana
vitu vyangu vyote vipelekwe kwetu
Jau
Kwenye Kuni.
No comments:
Post a Comment