Pichani ni Bibi kizee
mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya
ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi
inayomkabili kijana mmoja mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana)
anayetuhumiwa kumbaka bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo
walipofanikiwa kumkamata. (Picha Na Jumbe Ismailly)
2016-04-16
BIBI KIZEE ABAKWA MKOANI SINGIDA
About CHOMBONI MEDIA
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment