BREAKING
NEWS....! MBOWE AFIWA NA KAKA YAKE.
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema
Freeman Mbowe amepatwa na msiba baada ya kaka yake(Kanali Max Mbowe) kufariki
leo asubuhi katika hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taarifa hizo zimeandikwa na Mbowe kupitia akaunti yake ya
Twitter muda mfupi uliopita.
No comments:
Post a Comment