Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-04-15

HONGERA MR. BLUE KWA KUFUNGA NDOA!

Tunampongeza supastaa wa Bongo Flava Mr Blue kwa kufunga ndoa na baby mama wake Waheeda, ambaye amezaa naye watoto wawili. Blue amefunga ndoa jana April 14 2016 kimya kimya na inasemekana kwamba waliohudhuria ni ndugu na marafiki wachache wa karibu.
















Tunawatakia ndoa yenye furaha na amani!

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina