Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amevunja bodi ya Soko la Machinga
Complex lililopo Ilala Mchikini Dar es Salaam na kulikabidhi kwa mkuu wa mkoa
wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Akizungumza leo katika mkutano wa Jumuiya ya Wafanyabiashara
nchini (JWT), Simbachawene amesema wazo la kuanzishwa kwa soko hilo lilikuwa
zuri lakini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeshindwa kulitekeleza.
Jengo hilo lilikamilika kujengwa mwaka 2010 likiwa na uwezo wa
kuchukua wafanyabiashara 4206, lakini Waziri Simbachawene alisema limeishia
kuwa makazi ya popo
No comments:
Post a Comment