Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-05-06

PICHA:RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI MBALIMBALI AKIWA SAFARINI KUTOKEA DODOMA KUELEKEA ARUSHA KWA BARABARA







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha sehemu mbalimbali wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha kwa njia ya barabara leo Mei 6, 2016. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina