Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-06-17

PICHA: MUONEKANO MPYA WA CHID BENZ BAADA YA KUTOKA SOBER HOUSE

Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina