Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-07-05

NAIBU WAZIRI ANNASTAZIA WAMBURA AKABIDHI BENDERA YA TAIFA KWA TIMU YA WASICHANA YA VITO FC


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza na timu ya mpira wa miguu ya wasichana ya umri wa miaka 11 Fc Vito Malaika na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya kukabidhi Bendera ya Taifa kwa timu hiyo kwenda kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu  kushoto Mwakilishi wa Sport Development Aid Bw. Chigogolo Mohamed. 




Balozi wa Finland nchini Tanzania Pekka Hukka (kulia) akizungumza na timu ya mpira wa miguu ya wasichana ya umri wa miaka 11 ya Fc Vito Malaika na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya kukabidhi Bendera ya Taifa kwa timu hiyo kwenda kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu kushoto ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Annastazia James Wambura.



Mwakilishi wa Sport Development Aid Bw. Chigogolo Mohamed akizungumza na timu ya mpira wa miguu ya wasichana ya umri wa miaka 11 Fc Vito Malaika na waandishi wa habari (hawapo pichani)  katika hafla ya kukabidhi Bendera ya Taifa kwa timu hiyo kwenda kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu.



Kocha Mkuu wa timu ya wasichana ya mpira wa miguu ya Fc Vito Malaika akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya kukabidhi Bendera ya Taifa kwa timu hiyo kwenda kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu.


Nahodha wa timu ya mpira wa miguu Fc Vito Malaika, Alia Fikiri akizungumza na na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya kukabidhi Bendera ya Taifa kwa timu hiyo kwenda kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu.


Baadhi ya wachezaji timu ya wasichana ya mpira wa miguu Fc Vito Malaika wakimsiliza Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (hayupo pichani)   katika hafla ya kukabidhi Bendera ya Taifa kwa timu hiyo kwenda kushiriki mashindano ya mpira wa miguu ya Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Annastazia James Wambura (wa pili kulia) akikabidhi Bendera ya Taifa kwa nahodha timu ya mpira wa miguu Fc Vito Malaika Alia Fikiri (kushoto) kwenda kushiriki mashindano ya Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu.



Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Annastazia James Wambura akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Finland Tanzania Pekka Hukka wakati wa kukabidhi Bendera ya Taifa kwa timu ya mpira wa miguu ya wasichana ya Fc Vito Malaika inayoenda kushiriki mashindano ya  Helsinki Cup nchini Finland Julai 8 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina