Fisi mmoja ameuwawa katika kijiji cha Nyarubeye kata ya kasamwa Mkoani Geita ambapo siku za hivi karibuni wakazi wa Kasamwa wamekuwa na wakati mgumu baada ya fisi kuonekana kuzagaa kwa nyakati tofauti wakitafuta chakula karibu na kaya zao.
Mpaka sasa wanyama aina ya mbalimbali zaidi ya mia moja wameshaliwa na fisi toka januari mwaka huu na inadaiwa kuna fisi wengi ambao wamekuwa wakiingia hadi maeneo ya mjini nyakati za usiku.
Tazama video hapo chini
No comments:
Post a Comment