Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-08-12

Kiwanda cha Kuchambua Pamba Kasamwa kufufuliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joh Magufuli amewahakikishia wakazi wa Kasamwa Mkoani Geita kuwa msimu ujao kiwanda cha kuchambua pamba kitaanza kufanya kazi kama alivyoahidi wakati wa kampeni kuhakikisha Tanzania inakua ya viwanda.
Ni zaidi ya miaka kumi kiwanda cha kuchambua pamba kimekuwa hakifanyi kazi hali ambayo inalalamikiwa na wakazi wa Kasamwa hasa wakulima wa zao la Pamba.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina