Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael Kasubi amepewa adhabu ya kuhama mtaa wa mission anaoishi kwa kosa la kuwaletea wenye msiba jeneza aliloliiba akidai ni mali yake hali iliyozua mtafaruku baada muuzaji halali kusaka jeneza lake na kugundua lilipo.
Tazama video ya tukio zima hapo chini
No comments:
Post a Comment