Katika kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kutolewa kwawiki tatu magwangala yawe yameanza kugawiwa kwa wananchi zoezi hilo limeanza kutekelezwa ingawa baadhi ya maeneo yameonekana si rafiki kutokana na kuwa karibu na makazi ya watu hali ambayo inaweza kusababisha uharibifu wa mazingira na hofu kubwa kutokana na utumiaji wa zebaki unaotumiwa na wachimbaji wadogo.
shughuli zote zinatakiwa kufanywa katika Maeneo ambayo yameainishwa kuwa mawe hayo yatamwaga ili kuepusha usambaji wa mawe katika maeneo mbalimbali.
Tazama video hapo chini mh Mhongo akitoa ufafanuzi zaidi
No comments:
Post a Comment