Ni kibao kilichopo katika chuo cha Rich Rice kikikukaribisha chuoni hapo
Wanachuo wakiwa katika hali ya mgomo wa kuto kuingia madarasani . |
Wanachuo wakielekea kwenye Hostel . |
Makamo mkuu wa chuo hicho Elisha Ndelembi akitoa maelezo kwa wanahabari juu ya hatua ya kugoma wanafunzi. |
Mkuu wa wilaya ya Geita,Herman Kapufi akitoa maelekezo mbele ya wanafunzi. |
Wanachuo wakifatilia kwa makini maagizo ya Mkuu wa Wilaya. |
No comments:
Post a Comment