Binti wa miaka 14 ambaye ni Mwanafunzi wa Darasa la saba katika Shule ya Msingi Mwatulole iliyopo wilayani na mkoani Geita ameomba msaada wa kulindwa baada ya kupewa ujauzito na kijana aliyekuwa amepanga katika Nyumba yao na baada ya kupata ujauzito kijana huyo aliukana na kumtishia binti huyo kuwa akimtaja atakiona.
Baba Mzazi wa Binti huyo Mateso Chanyambugi amesema pamoja na kufungua kesi mahakamani ya kumshitaki Kijana Enos Charles anayetuhumiwa kumpa Binti ujauzito lakini kesi hiyo iliisha kwa kijana kuachiwa huru na kuona mahakama haijamtendea haki.
No comments:
Post a Comment