Mtoto mchaga amekutwa amefariki akiwa ndani ya boksi mtaa wa Kumi na nne Kambarage wilayani na mkoani Geita
Chanzo cha kugundua hilo ni baada ya Wanafunzi waliokuwa wakipita katika eneo hilo wakielekea shuleni ndipo walipoona boksi hilo liliwa pembezni mwa barabara
Baada ya wanafunzi hao kufungua boksi hilo ndipo walipokutana na mtoto mchanga ndani yake na tayari akiwa amekwishakufariki.





No comments:
Post a Comment