Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-09-06

New Video: Coyo MC F/ Honeya – Noma

Mwanza inafahamika kuwa chimbuko la rappers wakali kama Fid Q, Young Killer na Kala Jeremiah, lakini sasa huenda jiji hilo likapata mwakilishi mwingine hatari kwa michano na style, Coyo MC.
Kwa wengi, Coyo ni jina jipya kabisa lakini ngoma yake ‘Noma’ bila wasiwasi inamweka katika orodha ya rappers wa kuwaangalia kwa jicho la tatu. Jionee video hiyo hapo chini,,

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina