Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-09-10

Video : Mama Wema Azidi Kufunguka kuhusu Tofauti zilizopo kati yake na Man Fongo

Ni Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa nyimbo za singeli, Man Fongo.

"Kwanza kama utakuwa umesoma SMS yangu niliyomtumia nilimwambia kwamba Amani nakuheshimu sana hasa baba yako ambae mpaka sasa namuheshimu ila matusi ambayo umeanza kunitukana huko ulipo nimeyapata sasa endelea,Sasa mimi ndio wakumshtaki maana amenisema vibaya huko walipokuwa na watu wake ziarani nimeumia sana mimi kama mzazi, Manfongo bado  mtoto mdogo sana kwangu na mimi",alisema Mama Wema.

Kwa upande wa Man Fongo alisema…"Wamemtumia meseji mama yake na Wema kwamba ninaisema familia yake wakati mimi Manfongo muhuni na muhuni siku zote hatuna muda wa kumzungumzia mtu, riziki yangu naisaka tangu nipo kitaani sina muda wa kujibishana na watu sasa Mama Wema ananitumia meseji za matusi"

Tazama hii video Mama Wema Sepetu akieleza tofauti yake na Man Fongo.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina