Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-09-22

Video: Wema Sepetu aitimua team Wema.... Adai kuwa wanamuharibia maisha yake

Malkia wa filamu Wema Sepetu ameitimua team Wema katika mitandao ya kijamii kwa madai wao ndio chanzo cha matatizo mengi katika maisha yake.

Mwigizaji huyo amedai amekuwa hana amani kwa ajili ya team Wema.

“Sasa mimi naomba kusema kitu kimoja, naomba kuanzia sasa hivi sitaki kuijua team Wema, kwa sababu sielewagi team Wema ilitokea wapi, mimi sijui na sio chanzo cha team Wema na sijui mmetokea wapi mmekuja kuniharibia maisha yangu,” alisema Wema. 

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina