Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-07-05

PICHA MBALIMBALI ZA UAPISHWAJI WA WAKUU WA WILAYA MKOANI GEITA


1
Wakuu wa Wilaya wakisubiri muda wa kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga.
2
Herman Kapufi ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Wilaya ya Geita akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga.
3
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaaban Ntarambe.
4
Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Hamim Gwiyama.
5
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga.
6
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akitoa neno baada ya kuwaapisha Wakuu wa Wilaya.
79
Viongozi mbalimbali na familia za Wakuu wa Wilaya wakiwa makini kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Geita.
10
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Geita wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya.
11
Viongozi wa dini mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Wilaya.
12
Picha ya pamoja kati ya Wakuu wa Wilaya,Mkuu wa Mkoa na Familia ya Wakuu wa Wilaya waliohiudhuria hafla fupi ya kuapishwa kwao.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina