Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Lameck Nchemba, leo July 8 2016 ameamua kwenda hadi Temeke kumtembelea na kumjulia hali PC Shaban (F.9060)aliyejeruhiwa na majambazi wakati wa mapambano akiwa katika ulinzi wa Benki.
Katika tukio hilo la ujambazi lilipelekea askari mmoja kupoteza maisha na kujeruhi wafanyakazi wa benki hiyo.
No comments:
Post a Comment