Aliyekua Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Rich Rice Mjini Geita Sindano Masanja anatuhumiwa kuwasababishia wanachuo 428 wenye ufaulu wa daraja la nne ambao hawana vigezo vya kusoma ualimu kuwasajili huku kozi wanayosomea ya ualimu wa awali ikiwa imefutwa na NACTE tangu mwaka 2015.
Inadaiwa Sindano alikuwa akijitambulisha kuwa ndio mmiliki wa chuo na kuwasajili wanafunzi huku akiwaamuru baadhi ya Wanachuo kulipa ada kupitia akaunti yake binafsi na wengine kulipa moja kwa moja kwake. bonyeza hapo kwa undani zaidi
No comments:
Post a Comment