Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-09-06

Walimu Jijini Mwanza wacharuka, wamtandika viboko mama feki hadharani


Walimu Mwanza wacharuka, wamtandika mama feki hdharani ni baada ya mtoto kuambiwa alete mzazi akaenda kukodi mama.
baada ya mama huyo kuulizwa maswali kuhusu mwanae akawa hana analoelewa ndipo walipo amua kutafuta namba ya mzazi wa mwanafunzi huyo kwenye vitabu wakapata na walipouliza nyumbani wakawa hawana taarifa  yeyote juu ya hilo wala hawajatuma mtu ndipo Mkuu wa shule akashusha viboko kwa mama feki paredi 






No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina