Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi ameumia katika mguu wake wa kulia (Groin) na atakaa nje ya uwanja kwa takribani muda wa wiki 3.
Messi amepata maumivu hayo katika mechi dhidi ya Atletico Madrid ambapo alitolewa kunako dakika ya 59 na nafasi yake kuchukuliwa na Arda Turan.
No comments:
Post a Comment