Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-09-22

Picha: Diamond, Rayvanny, Babu Tale na Sallam ndani ya ‘tumepodoka’, utafurahi walichoandika mashabiki


Jumanne hii ilisambaa picha katika mitandao ya kijamii ikiwaonyesha wasanii pamoja na viongozi wa WCB, Diamond, Rayvanny, Babu Tale pamoja na Sallam wakiwa katika hali ya kujipodoa hatua ambayo imechukuliwa kama ni njia ya kupromote wimbo mpya wa Diamond, Salome.

Diamond alipost picha hiyo instagram na kuandika ujumbe ‘Kioo hakidanganyi Mama wametupodoa tumepodoka’ ambao ni sehemu ya mashairi ya wimbo wake mpya ‘Salome’.

Hata hivyo mashabiki katika mitandao ya kijamii wamekuwa na maoni mbalimbali juu ya picha hiyo huku wengine wakiwashindanisha ni nani amepodoka zaidi. Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao. 

Chrissnalimi_tz

Hahahahaahh @diamondplatnumz kama zari…. amakweli wanaosema mkikaa katika mahusiano kwamuda mrefu mnafanan,leo nimejionea umefanana na Mama tiffah
 

Bebe_swtkichuna

@babutale umenogaaa maana kila nikizunguk nikija kwenye hii picha nakufa mbavu hahahahha
Lizzoplatnumz4
Platnumzzz hayo Machooooo kodoooo wajinyongeee c c tutakodoa Wcb

Mac_mugan 
Duuuuuuuu Ushoga sasa umekubalika rasmi WCB
 

Salym_el_baajun

Km nikiambiwa hapo dem gan mkali mi namchagua babu tale.Wcb you’re genius, yani Mme convert hate to love hahahaha

Bellahpeter
Ha ha ha ha this one here has just made my day. Whoever dd this he/ she deserves a big around of applause
 

Horothjabu

Hahaaaaaahaha wabongo kwa kuunganisha vitu hawajambo haaaa babu tale katisha
 

Muddyramadhani

Salam km gea habib

Caiserchristian
@tyner_de_real baby njoo umuone @sallam_sk kama nsyuka @babutale jini kabula akalale lol Aliye fanya hiv jaman alikua anawaza nin cjui ila hii picha imenipa had usingiz watu wana roho mbaya mwone sasa chibu wa watu maskin

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina