Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-03-24

WAZIRI MAGHEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MSIMAMIZI WANYAMAPORI

Waziri wa Maliasili na Utalii Pro. Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi wa Wanyamapori, Charles Mulokozi baada ya kutoa vibali vya kusafirisha Tumbili kwenda Albania.



Sakata hilo limetokea baada ya Jeshi la Polisi kuwakamata raia 2 wa Uholanzi katika uwanja wa ndege wa KIA wakiwa na  61 hai wakijaribu kuwasafirisha kwenda nchini Albania.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina