Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina

Search This Blog

Breaking

Serikali kuja na mpango wa kodi ya nyumba kulipwa mwezi mmoja mmoja

TANGAZA NASI HAPA


2016-07-09

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI PROF.ELISANTE OLE GABRIELI AKUTANA NA WADAU WA UTAMADUNI KUTOKA UNESCO



Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(Katikati) akiongea na wadau wa utamaduni kutoka UNESCO  pamoja na Idara ya Maendeleo ya Sanaa na Utamaduni katika  kikao cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa  maendeleo ya Utamaduni nchini,leo jijini Dar es Salaam.



Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia) akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bw.Louise Crayssac katika kikao cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa  maendeleo ya Utamaduni nchini,leo jijini Dar es Salaam.




Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia) akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bw.Halvor Storrusten katika kikao cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa  maendeleo ya Utamaduni nchini, jijini Dar es Salaam.




Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia) akimsikiliza Afisa Utamaduni kutoka UNESCO Bi.Halvor Rehema Sudi katika kikao cha kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa  maendeleo ya Utamaduni nchini, jijini Dar es Salaam.


Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel(kulia) akiwa katika picha na wageni kutoka UNESCO na Idara ya Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa baada ya kumalizika kikao kilichokuwa kikijadili mpango mkakati wa miaka mitano wa  maendeleo ya Utamaduni nchini,leo jinini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tunakupa habari motomoto na uchambuzi wa kina