WABUNGE WANAWAKE WA UKAWA WATOKA NJE YA BUNGE BAADA YA MBUNGE WA CCM KUWATUHUMU KWAMBA WAMEPATA UBUNGE KWA KUFANYA MAPENZI NA VIONGOZI WAO
CHOMBONI MEDIA
10:32 AM
Wabunge wanawake wa Upinzani wametoka wote nje ya Bunge kwa madai ya kudhalilishwa bungeni na Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga ...